Hannah Gibson
Ulinganishi wa mofolojia na sintaksia baina ya lugha 19 za Kibantu za Afrika Mashariki [A morphosyntactic comparison of 19 East African Bantu languages]
Gibson, Hannah; Mapunda, Gastor; Marten, Lutz; Taji, Justus
Authors
Abstract
Katika makala hii tumewasilisha matokeo ya utafiti wetu kuhusu lugha 19 za Kibantu za Afrika Mashariki. Tumeonesha kwamba kuna makundi makuu matatu ambayo yanafanana kiasi cha asilimia 70 au zaidi. Makundi haya yanajikuta katika maeneo mbalimbali ya eneo la utafiti wetu. Kuna kundi la kaskazini, la kati, na la kusini. Tumetumia mbinu maalumu ya kulinganisha mofolojia na sintaksia za lugha hizi, ambayo inatumia vigezo 142 kuelezea kiwangochaufananokati yao.Matokeoya utafitihuuyanaonesha kwambakuna tofauti kubwa bainaya lughahizi.Kiwangochaufananobaina lughahizinikatiyaasimilia45(yaaniuhusiano baina Kikuyu na Kisena) na 80 (baina Kiwabo na Kimakhuwa). Ili kufahamu kwamba kuna makundi maalumu miongoni mwa lugha hizi, tumegawanya lugha ambazo ufanano wao ni
chini ya asimilia 70 na zile ambazo ufanano wao ni juu ya asimilia 70. Inawezekana kwamba
uhusiano uliopo kati ya makundi haya unaonyesha uhusiano wao wa kihistoria.
Citation
Gibson, H., Mapunda, G., Marten, L., & Taji, J. (2020). Ulinganishi wa mofolojia na sintaksia baina ya lugha 19 za Kibantu za Afrika Mashariki [A morphosyntactic comparison of 19 East African Bantu languages]. Kiswahili, 82, 1-13
Journal Article Type | Article |
---|---|
Acceptance Date | Jan 23, 2020 |
Publication Date | Apr 1, 2020 |
Deposit Date | Apr 6, 2020 |
Publicly Available Date | Apr 2, 2120 |
Journal | Kiswahili |
Print ISSN | 0856-048X |
Electronic ISSN | 2546-2229 |
Peer Reviewed | Peer Reviewed |
Volume | 82 |
Pages | 1-13 |
Publisher URL | https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/194874 |
Files
This file is under embargo until Apr 2, 2120 due to copyright reasons.
Contact outputs@soas.ac.uk to request a copy for personal use.
You might also like
Editorial
(2024)
Journal Article
Morphosyntactic variation in Bantu
(2024)
Book
Encoding politeness in African urban youth languages: Evidence from Southern Africa
(2024)
Journal Article
Morphosyntactic retention and innovation in Sheng, a youth language or stylect of Kenya
(2024)
Journal Article
Downloadable Citations
About SOAS Research Online
Administrator e-mail: outputs@soas.ac.uk
This application uses the following open-source libraries:
SheetJS Community Edition
Apache License Version 2.0 (http://www.apache.org/licenses/)
PDF.js
Apache License Version 2.0 (http://www.apache.org/licenses/)
Font Awesome
SIL OFL 1.1 (http://scripts.sil.org/OFL)
MIT License (http://opensource.org/licenses/mit-license.html)
CC BY 3.0 ( http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/)
Powered by Worktribe © 2025
Advanced Search